Kwanini chanjo dhidi ya virusi vya Corona (Covid-19) zinaweza kutokuuondoa ugonjwa huo kabisa..??

Written by: Dr. Michael Stanislaus

Posted at: 2021-02-02 04:50:42


Wakati kuna baadhi ya nnchi ambazo zinategemea chanjo kupunguza kasi ya kusambaa kwa Corona, kuna mambo mengi yasiyofahamika bado. Kwa upande mmoja, bado haijafahamika ni idadi gani ya watu wanaotakiwa kua na kinga ili kuzuia kabisa ugonjwa huo usisambae. Lakini pia kuna hofu kubwa kwamba chanjo zinaweza zisifanye kazi kama ipasavyo kwa vimelea vipya (variants). Mpaka sasa ni ugonjwa mmoja tu wa "smallpox" ambao tumefanikiwa kuuondoa kabisa (complete eradication) duniani. Kwa Covid-19 wana sayansi wana matumaini lakini sio kwa uhalisia.



Read more and consult the doctor on LyfPlus Mobile App.